Tukitoka Taifa na kombe letu tutakwenda moja kwa moja klabuni mtaa Msimbazi..kupitia barabara za Chang'ombe/Nyerere Road na kuingia Msimbazi.. wachezaji watapanda gari ya wazi na tunashukuru jeshi la polisi kanda maalum kwa ushirikiano wao... Tunawaomba wananchi na wanasimba mjipange pembeni ya barabaraTukutane Taifa
HAJI MANARA
HAJI MANARA
ADVERTISE HERE