Mchezo wa Simba dhidi ya Kagera Sugar kuanza saa nane na robo mchana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 May 2018
Mchezo wa Simba dhidi ya Kagera Sugar kuanza saa nane na robo mchana
Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa kesho Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa utaanza saa nane na robo mchana.

Mchezo huo unaanza mapema ili kutoa nafasi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli kukabidhi kombe kwa mabingwa wa ligi kuu msimu huu Simba pia kupokea taji CECAFA Chalenji kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 lililotwaliwa na Serengeti Boys nchini Burundi hivi karibuni.

Kuelekea mchezo huo, Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda amewahakikishia ulinzi wa uhakika wote wataofika uwanja wa Taifa kesho kushuhudia mchezo na tukio hilo la kihistoria.

Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Makao Makuu ya Ofisi zake zilizopo Ilala, Boma jijini Dar, Makonda ameeleza ulinzi utakuwa wa hali ya juu hivyo ni vema mashabiki wakaenda kwa wingi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’