Ulinzi kuimarishwa kesho, Makonda, Manara kuzungumza na wanahabari leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 May 2018
Ulinzi kuimarishwa kesho, Makonda, Manara kuzungumza na wanahabari leo
Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli kuridhia kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar kesho, na baadae kukabidhi taji la ubingwa wa VPL kwa mabingwa wapya Simba, Serikali imejipanga kuimarisha ulinzi uwanja wa Taifa.

Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh Paul Makonda ameitisha Mkutano Maalum na Waandhishi wa Habari utakaofanyika katika ofisi zake zilizopo Ilala Boma, Dar es Salaam kuzungumzia jinsi Serikali ilivyojipanga kuelekea siku hiyo ya historia.

Katika Mkutano huo, Makonda ataambatana na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’