Leo ni miaka sita ya kumbukumbu ya kifo cha Mafisango

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 May 2018
Leo ni miaka sita ya kumbukumbu ya kifo cha Mafisango
Leo Mei 17, 2018 ni miaka sita tangu kiungo wa zamani wa Simba, Patrick Mafisango alipofariki dunia kutokana ajali ya gari maeneo ya Veta, Chang'ombe jijini Dar es Salaam.

>Mafisango ambaye ni Mnyarwanda mwenye asili ya Congo, baada ya kifo hicho alisafirishwa na kwenda kuzikwa nyumbani kwao Congo.

Enzi za uhai wake, aliichezea Simba kwa mafanikio hadi akapatwa na umauti. Pia, kabla ya kujiunga na Simba, alipiga klabu za Azam FC, APR ya Rwanda pamoja na timu ya taifa ya Rwanda 'Amavubi'.

Alikuwa kipenzi cha mashabiki wa Simba na wa soka kwa ujumla jambo ambalo limewasababishia mpaka sasa wafanye matukio tofauti kwa ajili ya kumbukumbu yake.

Tukio la ajali hiyo ilikuwa usiku wa kumkia tarehe kama ya leo saa 8.45 alipokuwa akiendesha gari akitokea Maisha Club akiwa na wenzake wanne na alipofika maeneo ya Veta wakati akijaribu kumkwepa mwendesha baiskeli ya miguu mitatu 'Guta' gari lilimshinda na kugonga mti gari iliingia mtaroni na mauti ikamkuta hapo hapo.

Katika gari hiyo aina ya Gx 100, walikuwa watu watano akiwemo mtoto wa dada yake anayeitwa Orly Ilemba.

Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu Mafisango, amina.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
11h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’