Kikosi cha Simba kiliondoka asubuhi ya leo mjini Dar es Salaam kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu, Yanga Jumamosi.
Simba tayari imewasili Zanzibar.
Simba imekwenda Zanzibar ikitoka kupata ushindi mnono katika Ligi Kuu, baada ya kuichapa Njombe Mji 4-0 Uwanja wa Uhuru mjini Dar es Salaam kufikisha pointi 15 baada ya kucheza mechi saba.

ADVERTISE HERE