Kwa buku mbili tu utaishuhudia Simba ikikabidhiwa kombe na JPM

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 May 2018
Kwa buku mbili tu utaishuhudia Simba ikikabidhiwa kombe na JPM
Uongozi wa Simba uliiomba TFF ipunguze viingilio hasa upande wa mzunguuko katika mchezo wa Jumamosi dhidi ya Kagera Sugar, mchezo ambao Simba itakabidhiwa rasmi ubingwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli.

Mapema leo Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao, alisema wameridhia kupunguza kiingilio hicho kwa sehemu ya mzunguko ambayo awali ilikuwa imepangwa kuwa 3000 na sasa itakuwa 2000.

Kidao amesema wameridhia kupunguza kiingilio ili kuwapa nafasi mashabiki kujitokeza Uwanjani kwa wingi.

Mgeni Rasmi wa mchezo huo Rais Magufuli atahusika katika kuwakabidhi Simba kombe la ligi walilotwaa msimu huu sambamba na kupokea pia taji la CECAFA waliloshinda vijana wa Serengeti Boys huko Burundi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’