Mo kukabidhiwa rasmi timu May 20

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 May 2018
Mo kukabidhiwa rasmi timu May 20
Jumapili ijayo, May 2018 klabu ya Simba inatarajiwa kufanya Mkutano Mkuu wa wanachama wenye lengo la kufanya marekebisho ya Katiba ili kuruhusu mchakato wa uwekezaji uliokamilika miezi michache iliyopita.

Mchakato huo ulisitishwa baada ya Serikali kutoa kanuni mpya za uwekezaji katika vilabu ambazo zinatoa masharti ya namna ya uendeshwaji wa vilabu vinavyomilikiwa na wanachama.

Marekebisho ya Katiba ya Simba yatamruhusu mwekezaji aliyepatikana, Mohammed Dewji kumiliki hisa kwa asilimia 49 huku asilimia 51 zikibaki kwa wanachama wa Simba.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’