Simba yarejea Dar, yaanza kuiwinda Kagera Sugar

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 May 2018
Simba yarejea Dar, yaanza kuiwinda Kagera Sugar
Kikosi cha Simba kimerejea jijini Dar es salaam jana jioni kikitokea Bungeni mkoani Dodoma kwa mwaliko wa Spika wa Bunge Mh Job Ndugai.

Mabingwa hao wapya wa ligi kuu ya Vodacom watashuka dimbani Jumapili ijayo kuikabili Kagera Sugar kwenye uwanja wa Taifa katika mchezo mwingine wa kukamilisha ratiba, mchezo ambao mabingwa hao watakabidhiwa taji lao.

Wachezaji wa Simba wamepewa mapumziko ya siku moja wakitarajiwa kurejea mazoezini kesho Jumatano kujiandaa na mchezo huo.

Baada ya kutwaa ubingwa mapema, Simba imedhamiria kulinda rekodi yake nyingine ya kutofungwa msimu huu.

Viongozi, wachezaji na benchi la ufundi la mabingwa hao mara 19 wa ligi wameapa kumaliza msimu huu bila ya kufungwa
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’