Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo walialikwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika Mh Job Ndugai baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa VPL msimu huu.
Pichani juu, viongozi, wachezaji wa Simba wakiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo bungeni jijini Dodoma.

ADVERTISE HERE