Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kimealikwa 'Mjengoni' katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jana jioni baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Dodoma Combine, wabunge mashabiki wa mabingwa hao waliandaa msosi wa 'kufa mtu' kuwapongeza wachezaji kwa kufanikiwa kutwaa ubingwa.
Sherehe za ubingwa zimeanza rasmi mkoani Dodoma na zitaendelea jijini Dar es salaam baada ya Simba kuwasili.
Mabingwa hao wapya huenda wakakabidhiwa taji lao kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa Jumamosi ijayo.

ADVERTISE HERE