Ngorongoro Heroes kuikabili Mali leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 May 2018
Ngorongoro Heroes kuikabili Mali leo
Kikosi cha timu ya Taifa ya vijana wa umri chini ya miaka 20 Ngorongoro Heroes leo kinashuka kwenye uwanja wa Taifa kucheza na Mali kwenye mchezo wa kwanza wa raundi ya pili kusaka tiketi ya fainali ya michuano ya AFCON 2019 U20 itakayofanyika nchini Niger.

Vijana hao wanaonolewa na kocha Ammy Ninje wanahitaji kushinda mchezo huo wa kwanza nyumbani ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele.

Ngorongoro Heroes iliindoa DR Congo kwa mikwaju ya penati kwenye mchezo wa raundi ya kwanza baada ya timu hizo kutoka suluhu katika michezo yote miwili.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’