Al Masry yamtaka Okwi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 May 2018
Al Masry yamtaka Okwi
Wakati ligi mbalimbali zikielekea ukingoni, tayari vuguvugu la usajili limeanza kushika kasi.

Simba, mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom msimu huu watakuwa na kazi ya ziada kuwabakisha nyota wake ambao wamen'gara sana msimu huu wanaowindwa na vilabu vingine nje ya nchi.

Kinara wa mabao wa kikosi cha Simba Emanuel Okwi, ni miongoni mwa wachezaji wanaowindwa kwelikweli.

Klabu ya Al Masry inayonolewa na mkongwe Hossam Hassan imeripotiwa kutaka kumsajili Okwi.

Al Masry ilivutiwa na Okwi kwenye michezo miwili iliyozikutanisha timu hizo kwenye kombe la Shirikisho msimu huu.

Hata hivyo Okwi bado ana zaidi ya mwaka mmoja kwenye mkataba wake wa kuitumikia Simba, jambo ambalo linapunguza presha kwa viongozi kwa kuwa ni wao wenye uamuzi wa kumuuza au la.

Kocha wa Simba Pierre Lechantre amesema tayari anaandaa ripoti ya mwisho wa msimu itakayotumika kuboresha kikosi chake kwa ajili ya michuano ya msimu ujao.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’