Tiketi za mpambano kati ya Singida United dhidi ya Simba zimeanza kuuzwa asubuhi na mapema. Wakati huu uwanja huo unakaribia kujaa.
Misururu mikubwa ya mashabiki ilianza kuonekana nje ya uwanja kuanzia saa tatu asubuhi.
Idadi kubwa ya mashabiki wa Simba wamesafiri kutoka mikoa mbalimbali kufika Singida kumshuhudia Mnyama, bingwa mpya wa VPL 2017/18.
Uwanja wa Namfua umependezeshwa kwa idadi kubwa ya mashabiki wa Simba waliovalia jezi rasmi za klabu hiyo.

ADVERTISE HERE