Kiungo mshambuliaji Haruna Niyonzima aliyesajiliwa na Simba akitokea klabu ya Yanga msimu uliopita, ameweka historia ya kipekee kwa kuwa mchezaji wa kwanza kutwaa taji la ligi kuu ya Vodacom kwa misimu minne mfululizo.
Niyonzima alitwaa taji hilo kwa misimu mitatu akiwa na klabu ya Yanga kabla juzi hajalitwaa akiwa na Simba.

Naye Kiungo Jonas Mkude amekuwa mchezaji pekee ambaye alikuwa kwenye kikosi cha Simba kilichotwaa taji la ligi kuu ya vodacom kwa mara ya mwisho mwaka 2011/12 akaendelea kubaki katika klabu ya Simba na juzi kutwaa taji hilo kwa mara ya pili.
Emmanuel Okwi, Mwinyi Kazimoto na Shomari Kapombe nao walikuwemo kwenye kikosi cha mwaka 2011/12 lakini walihama Simba kabla ya kurejea msimu huu na kufanikiwa kutwaa ubingwa.

ADVERTISE HERE