Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Simba huenda wakakabidhiwa kombe kwenye mchezo wake wa ligi kuu ya Vodacom utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa dhidi ya Kagera Sugar.
Licha ya Simba kutaka ikabidhiwe kombe kwenye mchezo dhidi ya Singida United kesho, Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura amesema hakuna muda wa kutosha kufanya maandalizi ya swala hilo.
Aidha Wambura amesema TFF haijapata barua rasmi ya maombi kutoka kwa klabu ya Simba kuhusu swala hilo
Hivyo amesema TFF itafanya mchakato wa kuikabidhi Simba kombe baada ya mchezo wa leo.
Simba ilitwaa ubingwa huo jana baada ya Yanga kufungwa mabao 2-0 na Prisons.

ADVERTISE HERE