Kikosi cha Simba kimeondoka leo jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Singida tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Singida United.
Meneja wa Simba Richard Robert amesema klabu hiyo imepata mwaliko kutoka kwa wabunge mkoani Dodoma hivyo watapita Bungeni kabla ya kuendelea na safari.
Mchezo dhidi ya Singida United utapigwa keshokutwa Jumamosi, May 12 kwenye uwanja wa Namfua mkoani Singida

ADVERTISE HERE