Kiungo mshambuliaji wa Simba Shiza Kichuya amesema wamedhamiria kumaliza msimu bila ya kupoteza mchezo wowote hivyo wanakwenda mkoani Singida kuchukua alama tatu.
Simba ambayo inaweza kutwaa ubingwa hata ikitoka sare dhidi ya Singida United, inaendelea na maandalizi kuelekea mchezo huo utakaopigwa Jumamosi May 12 2018.
"Tumedhamiria kumaliza msimu huu bila kupoteza mchezo hivyo tunawaahidi mashabiki wetu kuwa hatuendi Singida ku relux, tunaenda kuchukua alama tatu," amesema.
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kwenda mkoani Singida kesho Alhamisi tayari kwa mchezo huo.

ADVERTISE HERE