Simba kuifuata Singida United Alhamisi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 May 2018
Simba kuifuata Singida United Alhamisi
Kikosi cha Simba kinatarajia kuondoka kesho Alhamisi kwenda mkoani Singida kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 28 dhidi ya Singida United.

Simba inakwenda mkoani Singida ikiwa na nia na matumaini makubwa ya kutwaa ubingwa wiki hii.

kimahesabu, sasa ikiwa na alama 65 Simba inahitaji alama mbili tu ili iweze kutangaza ubingwa.

Ushindi dhidi ya Singida United kwenye mchezo utakaopigwa Jumamosi, May 12 utaiwezesha Simba kufikisha alama 68 alama mbili zaidi ya Yanga inayoweza kufikisha alama 66 kama itaweza kushinda michezo yake yote iliyobaki.

Hata hivyo Simba inaweza kutwaa ubingwa kesho Alhamisi kama Yanga itashindwa kuibuka na ushindi dhidi ya Prisons.

Huenda sherehe za ubingwa Msimbazi zikaanza mapemaa kesho baada ya mchezo kati ya Prisons dhidi ya Yanga mkoani Mbeya.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
15h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
19h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’