Kikosi cha Simba leo kimeendelea na mazoezi kwenye uwanja wa White Sands kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 28 dhidi ya Singida United.
Mchezo huo utapigwa mkoani Singida Jumamosi May 12 kwenye uwanja wa Namfua.
Simba huenda ikautumia mchezo huo kutangaza rasmi ubingwa msimu huu.

ADVERTISE HERE