Simba kamili kuikabili Ndanda FC kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 May 2018
Simba kamili kuikabili Ndanda FC kesho
Kikosi cha Simba leo kitafanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa Boko Veterans jijini Dar es salaam tayari kuikabili Ndanda FC kesho.

Mchezo dhidi ya Ndanda utapigwa kwenye uwanja wa Taifa.

Simba inayoongoza ligi kwa tofauti ya alama 13 dhidi ya Azam FC iliyo nafasi ya pili, inahitaji alama tano tu ili iweze kutwaa ubingwa.

Ushindi dhidi ya Ndanda utaifanya ihitaji kushinda mchezo mwingine mmoja kati ya mitatu itakayokuwa imebaki ili iweze kutwaa ubingwa.

Kikosi cha mabingwa hao watarajiwa kiko kamili kukiwa hakuna majeruhi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
46m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’