Mshambuliaji wa Majimaji ya Songea mkoani Ruvuma, Marcel Kaheza amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) Tanzania Bara.
Kaheza amewashinda washambuliaji wa Simba John Bocco na Emmanuel Okwi baada ya kufunga mabao saba katika mwezi huo.
Kwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi, Kaheza atazawadiwa kin'gamuzi cha Azam TV pamoja na fedha taslim Tsh Milioni moja.

ADVERTISE HERE