Simba kufanya marekebisho ya Katiba May 20

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 May 2018
Simba kufanya marekebisho ya Katiba May 20
Uongozi wa Simba umetoa taarifa kwa wanachama wake kuwa May 20 2018 kutakuwa na Mkutano wa dharura wa wanachama wote.

Kulingana na taarifa iliyotolewa jana na Kaimu Rais wa Simba Salum Abdallah, Mkutano huo utafanyika kwenye Ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.

Mkutano huo ni mahsusi kwa ajili ya kufanya marekebisho ya Katiba ya Simba kuruhusu muundo wa uwekezaji wa hisa asilimia 49 kwa 51 kama ilivyoagiza Serikali

Baada ya mabadiliko hayo inatarajiwa mwekezaji aliyeshinda zabuni Mohammed Dewji 'Mo' atakabidhiwa rasmi timu
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’