Manara ahoji kwa nini Mkude hathaminiwi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 May 2018
Manara ahoji kwa nini Mkude hathaminiwi
Jana Afisa Habari wa Simba alihoji ni vigezo vipi makocha wa timu ya Taifa hapa nchini huwa wanavitumia wanapochagua wachezaji wa kikosi cha Stars.

Manara alihoji inakuwaje kiungo mahiri wa Simba Jonas Mkude amekuwa hapewi nafasi hata pale anapoitwa kwenye kikosi cha Stars.

Mkude amekuwa katika kiwango bora na pengine kwa sasa ndiye kiungo mkabaji bora kabisa katika ardhi ya Tanzania.

"Leo nimekaa nikajiuliza swali moja gumu, kisha nikakosa majibu. Hivi nchi hii haimuoni Jonas Mkude? tatizo ni nini au hilo jina Mkude limekaa kiluguru sana au kwa kuwa hachani nywele?

"Huyu jamaa amezaliwa midfielder na kwa sasa hakuna mbadala wake kwenye nchi hii ya JPM...pls tuwe serious jamani na vipawa vya watu," aliandika Manara katika ukurasa wake wa Instagram.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’