Ndemla kutimkia Sweden

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 May 2018
Ndemla kutimkia Sweden
Lile dili la kiungo wa Simba Said Hamisi Ndemla kutimkia klabu ya AFC Eskilstuna ya Sweden huenda likakamilika mwishoni mwa msimu huu.

Ndemla ambaye mkataba wake na klabu ya Simba unamalizika mwezi huu hajaongeza Mkataba mwingine hivyo anatarajiwa kuondoka akiwa mchezaji huru.

Mwishoni mwa mwaka jana Ndemla alifuzu majaribio katika klabu ya AFC Eskilstuna lakini klabu hiyo ikataka kumchukua kwa mkopo ombi ambalo lilikataliwa na Simba.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’