Simba kuanza kuiwinda Ndanda Jumatano

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 May 2018
Simba kuanza kuiwinda Ndanda Jumatano
Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga juzi, kikosi cha Simba kesho Jumatano kinatarajiwa kuendelea na maandalizi ya mchezo wa ligi mzunguuko wa 27 dhidi ya Ndanda FC.

Mchezo huo utapigwa Jumapili ijayo, May 06 kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema wachezaji walipewa mapumziko ya siku moja baada ya mchezo dhidi ya Yanga.

Simba inahitaji alama tano tu kutwaa ubingwa hivyo ushindi dhidi ya Ndanda utaifanya uukaribie zaidi ubingwa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’