Hongera Serengeti Boys kwa kutwaa ubingwa CECAFA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Apr 2018
Hongera Serengeti Boys kwa kutwaa ubingwa CECAFA
Leo wakati Simba ikiiadhibu Yanga kwenye uwanja wa Taifa, nchini Burundi timu ya Taifa ya vijana umri chini ya miaka 17 Serengeti Boys ilikuwa ikichuana na Somalia kwenye mchezo wa fainali ya michuano ya CECAFA.

Serengeti Boys imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 hivyo kutwaa taji la michuano hiyo inayohusisha timu za Africa Mashariki na Kati.

Katika michuano hiyo Uganda imemaliza ikiwa nafasi ya tatu na Kenya nafasi ya nne.

Hongera kwa vijana wa Tanzania kutwaa taji hilo. Kufanya vizuri kwa timu za vijana za Tanzania ni dalili nzuri na huenda wachezaji hao kama watatunzwa vizuri watakuja kuimarisha kikosi cha timu ya Tanzania ya wakubwa
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’