Mkude, Kapombe walivyomzima Tshishimbi leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Apr 2018
Mkude, Kapombe walivyomzima Tshishimbi leo
Viungo Jonas Mkude na Shomari Kapombe leo walifanikiwa kutawala katika kiungo wakishirikiana na Shiza Kichuya.

Mbali na kuchezesha timu, Kapombe na Mkude walikuwa na majukumu ya kuhakikisha kiungo wa Yanga Papi Tshishimbi hasababishi madhara, jukumu ambalo walifanikiwa.

Mkude alimficha kabisa Tshishimbi kwenye sehemu ya kiungo hadi kumfanya akatolewa wakati mchezo ukielekea ukingoni.

Mkude ameibuka nyota wa mchezo huo kwa upande wa kikosi cha Simba baada ya kupigiwa kura na mashabiki wengi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
2h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
21h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
2d ago
READ MORE β†’