Macho yote kwa Okwi, Bocco, Kichuya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Apr 2018
Macho yote kwa Okwi, Bocco, Kichuya
Vinara wa ligi kuu ya Vodacom Simba kesho Jumapili wanashuka kwenye uwanja wa taifa kuwakabili wapinzani wao wa jadi Yanga.

Simba inashuka uwanja wa taifa kesho ikiwa mwenyeji wa mchezo huo ambao kama itapata ushindi basi itakuwa imeusogeza ubingwa mezani.

Ikiwa na mshambuliaji wake kinara wa mabao Emanuel Okwi, ambaye ameshafunga mabao 19 matumaini ya ushindi ni makubwa.

Nahodha John Bocco ambaye ana mabao 14 sambamba na kiungo mshambuliaji Shiza Kichuya nao wanapewa nafasi kubwa ya kufunga kwenye mchezo huo.

Kichuya ana rekodi ya kipekee dhidi ya Yanga kwani amefunga kwenye kila mchezo katika michezo mitatu iliyopita.

Simba ndio timu yenye safu hatari zaidi ya ushambuliaji hilo halina ubishi.

Simba iliweka kambi mkoani Morogoro kujiandaa na mchezo huo.

Jana msemaji wa klabu hiyo Haji Manara aliwataka mashabiki wa Simba kufurika kwa wingi kwenye uwanja wa Taifa kushuhudia timu yao ikipata ushindi wa kihistoria
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’