Ndemla amempania hasa Tshishimbi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
28 Apr 2018
Ndemla amempania hasa Tshishimbi
Kiungo wa Simba, Said Ndemla wala hana maneno mengi kuhusu mchezo wa Jumapili dhidi ya Yanga lakini alichowaambia mashabiki wa timu yake ni kwamba waje pale Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kushuhudia burudani.

Akimzungumzia kiungo wa Yanga Papy Tshishimbi ambaye kama atapata nafasi ya kuanza atakutana nae katika dimba la kati, alisema mchezaji huyo ni mzuri lakini atajitahidi kufanya vizuri katika mchezo huo ili kumfunika.

“Uwezo wake haujifichi ni mchezaji mzuri, lakini naamini kikubwa tukiwa vizuri katika nafasi hiyo tutaweza kumdhibiti asilete madhara kwetu,” alisema.

Ndemla ambaye anacheza Ligi Kuu kwa mwaka wa nne sasa, amesema mchezo huo ni mgumu na hautabiriki kutokana na timu zote kufanya maandalizi kwa utulivu.

“Ni ngumu kusema kwamba nani atakuwa mshindi au kama tukishinda hapa ndio atakuwa bingwa, dakika 90 za uwanjani ndio zitaamua kwamba nani ni bora zaidi ya mwenzake,” alisema.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
51m ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →