VPL mzunguuko wa 26 kuendelea leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Apr 2018
VPL mzunguuko wa 26 kuendelea leo
Ligi kuu ya Vodacom inaelekea ukingoni ambapo leo inaingia mzunguuko wa 24 kwa michezo miwili kupigwa.

Mkoani Njombe, wenyeji Njombe Mji wanaopigana kujinusu wasiteremke daraja watawakaribisha Ndanda FC, timu nyingine ambayo haina hali nzuri kwenye msimamo.

Mbeya City baada ya kuibania Yanga dakika za majeruhi, leo itakuwa kwenye dimba lake la Sokoine kuikabili Singida United.

Kesho Jumamosi April 28 kutakuwa na michezo mitatu; Mtibwa Sugar itakuwa mwenyeji wa Azam FC, Majimaji itaendelea na vita ya kujinusuru isiteremke daraja itakapoikaribisha Ruvu Shooting.

Stand United na Kagera Sugar zitaumana kwenye mchezo mwingine utakaopigwa katika dimba la Kambarage mkoani Shinyanga.

Jumapili April 29 kutakuwa na mchezo mmoja tu utakaozikutanisha timu kongwe, vigogo vya soka nchini Simba na Yanga.

Jumatatu April 30 kutakuwa na mchezo mmoja pia kati ya Mwadui FC dhidi ya Mbao FC
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’