Simba yarejea Dar kimyakimya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Apr 2018
Simba yarejea Dar kimyakimya
Kikosi cha Simba kimerejea jijini Dar es salaam kutoka mkoani Morogoro baada ya kuweka kambi ya siku tano kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Yanga.

Simba itakuwa mwenyeji wa mchezo huo utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa Jumapili April 29.

Imeelezwa baada ya kurejea jijini Dar es salaam Simba itajichimbia kwenye Hoteli moja maarufu ikiweka kambi maalumu kuelekea mchezo huo

Vinara hao wa ligi wanahitaji kushinda mchezo huo ili kujihakikishia nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’