Kikosi cha Simba, wiki ijayo kinatarajiwa kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya watani zao wa jadi, Yanga utakaopigwa Oktoba 28, mwaka huu kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar.
Simba itaondoka jijini Dar kwenda Zanzibar baada ya mchezo wao wa kesho Jumamosi dhidi ya Njombe Mji utakaopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru.
Simba pia iliweka kambi Zanzibar kabla ya mchezo wa Ngao ya Jamii. Mchezo ambao iliibuka na ushindi wa mikwaju ya penati 5-4

ADVERTISE HERE