Taarifa ya Simba kuhusu uvumi wa Omog kutimuliwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Sep 2017
Taarifa ya Simba kuhusu uvumi wa Omog kutimuliwa
Uongozi wa Simba kupitia kwa msemaji wake Haji Manara amekanusha uvumi unaosambaa kwenye mitandao kuwa klabu hiyo imemtimua kocha wake Joseph Omog.

Manara amesema uongozi wa Simba una imani na kocha huyo huku pia akisisitiza kuwa Simba haijawahi kumpa michezo mitano kama inavyoripotiwa.

"Nimeshaeleza toka awali kuwa, hakuna mechi tano wala huo mpango wa kumwondoa kocha Omog au benchi zima la ufundi, klabu ya Simba haina mpango huo, amesema Manara.

"Tunaomba mashabiki, wapenzi na wanachama wa klabu ya Simba kuweka Imani yao kwa Uongozi, kikosi cha Simba na benchi la ufundi kuwa tunajua nini mashabiki wetu wanachotaka na ndicho tunachopambana kuhakikisha tunafikia malengo," Manara amekiambia kitengo cha Habari cha Simba.

Omog ameiongoza Simba katika michezo minne ya ligi msimu huu aifanikiwa kushinda miwili na kutoka sare miwili.

Simba ndiyo timu iliyofunga mabao mengi kuliko nyingine zote ikiwa imefunga jumla ya mabao 12 na kuruhusu mabao mawili pekee.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
53m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’