Mfumo wawapoteza Niyonzima, Mzamiru, Ndemla

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Apr 2018
Mfumo wawapoteza Niyonzima, Mzamiru, Ndemla
Viungo Haruna Niyonzima, Mzamiru Yassini, Said Ndemla na Mohammed Ibrahim 'Mo' wamepoteza namba kwenye kikosi cha kwanza cha Simba kutokana na kutoendana sawa na falsafa ya kocha Pierre Lechantre.

Lechantre anapendelea zaidi mchezo wa kushambulia na kujilinda kwa pamoja 'Total Football'.

Mara kadhaa Lechantre amesisitiza kuwa anataka kuiona Simba ikishambulia muda wote lakini pia ikijilinda kuanzia pale inapopoteza mpira.

Ni sababu hiyo inayomfanya wakati mwingine kuwatumia Shomari Kapombe na Asante Kwasi kama viungo wa kati ili kuimarisha ulinzi sehemu ya kiungo hasa timu inapokuwa haina mpira.

Katika moja ya mahojiano yake, Lechantre alisema Niyonzima, Ndemla na Mzamiru ni wachezaji wa Simba hivyo watapata nafasi ya kucheza kulingana na mahitaji ya mchezo.

"Bado tuna michezo mitano ya kukamilisha msimu. Watapata nafasi ya kucheza kulingana na mahitaji ya michezo husika," alisema Lechantre kwa kifupi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’