Kuelekea mpambano wa watani, ulinzi kuimarishwa uwanja wa Taifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
25 Apr 2018
Kuelekea mpambano wa watani, ulinzi kuimarishwa uwanja wa Taifa
Katika kuimarisha usalama kwenye Uwanja wa Taifa katika mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga Aprili 29, Shirikisho la soka nchini (TFF) , limetengaza kufungwa kwa kamera 109 uwanjani hapo.

Afisa habari wa Shirikisho hilo, Clifford Ndimbo alisema watu wa usalama wamejipanga vyema kudhibiti vurugu zozote ambazo zinaweza kujitokeza katika mchezo huo.

“Tiketi zinaendelea kuuzwa kwa njia ya Selcom kwa wale wote ambao wanataka kununu basi wanaweza kujipatia kupitia kadi zao za Selcom na kuhusu ulinzi ni wa hali ya

“Kufungwa kwa kamera inamaana matukio yote yatakayo yanaendelea uwanjani yatakuwa yanarekodiwa, pia kuhusu vinjwaji na chakula kwa watakao fika mapema siku hiyo, watapata huduma hizo ndani ya uwanja,” alisema Ndimbo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE →
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →