Kikosi cha timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes kimewasili leo kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Heroes iliiondosha kwa matuta 6-5 DR Congo kwenye raundi ya kwanza ya kusaka tiketi ya kushiriki fainali za AFCON 2019 kwa vijana chini ya umri wa miaka 20.
Heroes sasa itachuana na Mali kwenye hatua inayofuata.

ADVERTISE HERE