Kikosi cha Simba leo kimeingia siku ya tatu kikiwa mkoani Morogoro kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Yanga.
Mchezo huo utapigwa Jumapili ijayo, April 29 kwenye uwanja wa taifa, Simba ikiwa mwenyeji.
Kocha Mkuu wa Simba Pierre Lechantre akisaidia na Masudi Djuma, ameongeza 'dozi' ya mazoezi kwa vijana wake kuhakikisha wanakuwa tayari kwa mchezo huo.
Simba inahitaji kushinda mcheoz huo ili kuukaribia ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom mzimu huu baada ya kusubiri kwa misimu mitano.

ADVERTISE HERE