Kichuya asema Jumapili kama kawaida yake

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Apr 2018
Kichuya asema Jumapili kama kawaida yake
Shiza Kichuya amekuwa na rekodi nzuri ya kufunga kila Simba inapokutana na Yanga katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.

Kichuya amefunga michezo mitatu mfululizo iliyozikutanisha timu hizo hivyo.

Kuelekea mchezo wa Jumapili April 29 utakaozikutanisha Simba na Yanga kwenye uwanja wa Taifa, Kichuya amesema ataendeleza makali yake ya kutupia kambani.

"Nimezoea kuwafunga Yanga, Jumapili nitawafunga tena mapema sana," amesema Kichuya ambaye yuko mkoani Morogoro na kikosi cha Simba kilichoweka kambi mkoani humo.

Mchezo wa mwisho uliozikutanisha timu hizo mwaka jana Oktoba 28, ulimalizika kwa sare ya bao 1-1 Kichuya akifunga bao la Simba wakati lile la Yanga lilifungwa na Obrey Chirwa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’