Mchezo Jumapili ijayo dhidi ya Yanga ni mchezo muhimu sana kwa Simba kupata ushindi.
Simba inaongoza ligi ikiwa na alama 59 baada ya kushuka dimbani mara 25 ikifuatiwa na Yanga yenye alama 48 baada ya kushuka dimbani mara 23.
Simba inaongoza ligi kwa tofauti ya alama 11 lakini ikishinda dhidi ya Yanga itaongoza kwa alama 14 huku ikibaki na michezo minne pekee.
Kama Simba itapata ushindi Jumapili, hata kama Yanga itashinda michezo yake miwili ya kiporo, bado itakuwa imeachwa kwa alama nane.
Ili kutwaa ubingwa Simba itahitaji kushinda mchezo mmoja zaidi na kutoka sare mwingine iwapo itaifunga Yanga Jumapili.
Lakini mahesabu yanaweza kugeuka kama Simba itapoteza mchezo huo. Iwapo Yanga itashinda michezo yake ya kiporo timu hizo zitakuwa tofauti kwa alama mbili.
Aidha matokeo ya sare yatazidi kuibeba Simba kuelekea ubingwa ingawa yataichelewa kutangaza ubingwa mapema.

ADVERTISE HERE