Ni Singida United vs Mtibwa Sugar fainali ya ASFC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Apr 2018
Ni Singida United vs Mtibwa Sugar fainali ya ASFC
Klabu ya Singida United imetinga fainali ya kombe la FA (ASFC) baada ya kuilaza JKT Tanzania kwa mabao 2-1 kwenye mchezo uliopigwa katika uwanja wa Namfua mkoani Singida.

Kiungo Tafadzwa Kutinyu alifunga mabao yote ya Singida United wakati bao la JKT Tanzania lilifungwa na Hassani Matelema.

JKT Tanzania ndio ilianza kufunga bao la kuongoza kwenye dakika ya 38 kabla Kutinyu hajaifungia Singida United kwenye dakika za 54 na 98.

Mchezo huo ulichezwa kwa dakika 120.

Singida United sasa itachuana na Mtibwa Sugar Juni 02, 2018 katika mchezo wa fainali utakaopigwa kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha.

Mshindi wa mchezo huo atajinyakulia kitita cha Tsh Mil 50 pamoja na kuwa muwakilishi wa Tanzania Bara kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika mwakani.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’