Baada ya mchezo dhidi ya Lipuli jana, kikosi cha Simba kimerudi mkoani Morogoro kuweka kambi ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa Jumapili ijayo, April 29.
Simba inaongoza ligi kwa tofauti ya alama 11 dhidi ya Yanga ambayo leo imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Mbeya City.
Mkuu wa Idara ya Habari ya klabu ya Simba Haji Manara amesema uamuzi wa kubaki Morogoro umefikiwa baada ya kuvutiwa na hali ya mkoa huo

ADVERTISE HERE