Jana Simba imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Lipuli kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom uliopigwa kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa.
Nahodha wa kikosi cha Simba John Bocco amesema ingawa walihitaji kushinda mchezo huo lakini alama moja iliyopatikana si haba kwa kuwa Lipuli FC nao walikuwa wamejipanga.
"Mchezo wa leo ulikuwa mgumu. Tunashukuru tumeweza kuondoka na alama moja. Lipuli wamecheza vizuri," amesema Bocco;
"Sasa tunajipanga kwa ajili ya mchezo ujao dhidi ya Yanga"
Mchezo wa Simba na Yanga utapigwa Jumapili ijayo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE