Okwi akabidhiwa tuzo ya mchezaji bora

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Oct 2017
Okwi akabidhiwa tuzo ya mchezaji bora
Kinara wa mabao ligi kuu ya Vodacom, Emanuel Okwi amekabidhiwa medali ya mchezaji bora wa mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar.

Okwi amekabidhiwa medali hiyo leo na kocha Joseph Omog kabla ya kuanza mazoezi kwenye dimba la Uhuru.

Kocha Msaidizi wa Simba Djuma Masoud alishuhudia mkali huyo wa mabao akikabidhiwa medali yake.

Okwi alifunga bao la Simba katika mchezo dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye dakika za majeruhi.

Tayari ameshafunga mabao saba msimu huu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’