Kichuya nyota wa mchezo Lipuli v Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Apr 2018
Kichuya nyota wa mchezo Lipuli v Simba
Kiungo mshambuliaji wa Simba Shiza Kichuya amepigiwa kura na mashabiki wengi hivyo kuibuka nyota wa mchezo wa kikosi cha Simba kilichotoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Lipuli FC leo.

Kichuya alicheza kwa kujituma na kun'gara katika kikosi cha Simba, hakika tuzo hiyo amestahili.

Kichuya amekuwa katika kiwango bora msimu huu. Amekuwa chachu ya mafanikio ya kikosi cha Simba.

Yeye ndiye kinara wa kupika mabao kwenye ligi kuu ya Vodacom ambapo tayari ametengeneza mabao manane huku mwenyewe akifunga saba
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’