Matokeo ya ushindi dhidi ya Lipuli FC leo yataisogeza Simba karibu zaidi ya ubingwa.
Ushindi utaifanya Simba ifikishe alama 61, alama 14 zaidi ya Yanga iliyo nafasi ya pili pamoja na michezo yake mitatu ya kiporo.
Lakini kwa hali halisi Yanga itakuwa kwenye presha kubwa na upo uwezekano mkubwa haitaweza kushinda michezo yote ya kiporo.
Kama ushindi utapatikana mkoani Iringa leo, huenda ikawa ndio mwanzo wa Simba kutangaza ubingwa mapema zaidi.
Mchezo wa leo dhidi ya Lipuli, mchezo ujao dhidi ya Yanga na pengine mchezo dhidi ya Singida United ndio michezo itakayoihakikishia Simba ubingwa.

ADVERTISE HERE