Lipuli inaupimia 'mziki' wa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Apr 2018
Lipuli inaupimia 'mziki' wa Simba
Uongozi wa Lipuli FC umesema tayari umeshakamilisha maandalizi ya kuikabili Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kesho.

Lipuli itakuwa kwenye dimba lake la nyumbani mjini Iringa ikiikaribisha Simba ambapo mtanange huo utaanza majira ya saa 10 kamili jioni.

Msemaji wa timu hiyo, Clement Sanga, ameeleza kuwa tayari wameshajipanga na amewahiidi Simba wajiandae kupokea kichapo cha mabao si chini ya mawili.

Kikosi hicho kimedhamiria kuivunja rekodi ya Simba ambayo haijapoteza mchezo hata mmoja toka msimu huu wa ligi 2017/18 uanze.

Simba itaingia dimbani ikiwa na alama 58 kileleni na ikiwa na njaa ya kuukosa ubingwa wa ligi kwa takribani misimu zaidi ya minne.

Bila shaka kikosi cha Pierre Lechantre kitaendeleza wimbi la ushindi ili kuukaribia zaidi ubingwa wa VPL msimu huu.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
48m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’