Manula, Okwi wana kadi mbili za njano

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Apr 2018
Manula, Okwi wana kadi mbili za njano
Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Emanuel Okwi ana kadi mbili za njano hivyo kumuweka katika hatari ya kuukosa mchezo dhidi ya Yanga April 29 kama atapata kadi kesho Simba itakapoivaa Lipuli FC.

Aidha mlinda lango Aishi Manula naye ana kadi mbili za njano.

Mchezo wa watani wa jadi una umuhimu wa kipekee kwani ushindi utaisogeza Simba karibu zaidi na ubingwa.

Lakini ushindi dhidi ya Lipuli nao ni muhimu zaidi ili kuongeza tofauti ya alama dhidi ya Yanga kuwa 14.

Tayari Simba inamkosa kiungo wake Jonas Mkude anayetumikia adhabu ya kadi tatu za njano mchezo dhidi ya Lipuli .

Kikosi cha Simba kiliwasili mkoani Iringa jana tayari kwa mchezo huo utakaopigwa kwenye dimba la Samora.

Simba leo itafanya mazoezi kwenye uwanja huo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’