Kikosi cha Simba kimeondoka leo kuelekea mkoani Iringa tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 25 dhidi ya Lipuli FC.
Simba imeondoka mkoani Morogoro leo Alhamisi mchana.
Kulingana na Afisa Habari wa Simba, Haji Manara kikosi cha Simba kimeondoka mapema mkoani Morogoro ili kipate muda wa kutosha wa kupumzika kabla ya mchezo dhidi ya Lipuli utakaopigwa keshokutwa Jumamosi, APril 21.
Simba iko kwenye nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa VPL msimu huu, sasa ikiwa na alama 58 ikiongoza kwa tofauti ya alama 11 dhidi ya Yanga.

ADVERTISE HERE