Kikosi cha Simba kimeondoka asubuhi ya leo jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Morogoro ambako kitaweka kambi ya muda kabla ya safari ya kuelekea Iringa.
Jumamosi, April 21 Simba itakuwa mkoani Iringa kuikabili Lipuli FC kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 25.
Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema Simba imeamua kuweka kambi ya siku moja mkoani Morogoro kabla ya kwenda Iringa kujiandaa na mchezo huo utakaopigwa kwenye uwanja wa Samora.

ADVERTISE HERE