Kiungo mkabaji wa Simba Jonas Mkude ataukosa mchezo dhidi ya Lipuli FC kutokana na kutumikia adhabu ya kadi tatu za njano.
Mkude alionyeshwa kadi ya tatu ya njao kwenye mchezo uliopita dhidi ya Prisons hivyo kanuni za ligi zinamlazimu kukosa mchezo mmoja.
Hata hivyo nafasi yake inaweza kuzibwa kikamilifu na James Kotei ambaye kwa sasa sio chaguo la kwanza la kocha Pierre Lechantre.
Kikosi cha Simba kimerejea mazoezini leo kwenye uwanja wa Boko Vererans jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Lipuli FC

ADVERTISE HERE